Kilimo Swahili News

Bajeti ya Kilimo Tanzania-umwagiliaji na mbegu bora zapewa kipaumbele
Idadi ya Watanzania ni Milioni 61.74. Kati ya hao asilimia 65.6 sawa na zaidi ya
May 10, 2023
No Comments

Kampuni yakatazwa kununua parachichi
Waziri wa Kilimo Tanzania Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa mmliki wa kampuni ya Candia Fresh
January 18, 2023
No Comments

Mikakati ya kuwawezesha wakulima wa mkonge kuzalisha kwa tija
Naibu Waziri wa Kilimo nchini Tanzania Mhe. Anthony Mavunde amewataka Wakulima wa zao la mkonge
December 5, 2022
No Comments

Mavunde awasihi wakulima wajisajili
Naibu Waziri wa Kilimo Tanzania Mhe. Anthony Mavunde amewataka wakulima nchini kujitokeza katika zoezi la
October 31, 2022
No Comments

Wakulima wapimiwe ardhi na wapewe hati, asema Naibu wa Waziri Mavunde
Naibu Waziri wa Kilimo wa Tanzania Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Timu ya wataalamu wa Ardhi
October 27, 2022
No Comments

Mavunde ahimiza kilimo mkataba kwa wakulima juu ya soko
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Anthony Mavunde amewataka wachakataji wa mazao ya kilimo kuingia mikataba
October 2, 2022
No Comments

Tanzania na Israel kushirikiana kwenye ujuzi wa uzalishaji wa mbegu
Nchi za Tanzania na Israel zimeanzisha mazungumzo kuelekea katika makubaliano ya kushirikiana katika maeneo ya
August 29, 2022
No Comments

Mwelekeo wa kilimo chetu kwa sasa ni umwagiliaji – Waziri Bashe
Kipaumbele cha Serikali ya Tanzania ni kuimarisha Sekta ya Kilimo cha umwagiliaji ili kupunguza utegemea
June 16, 2022
No Comments

Serikali yaonya wazalishanji wa miche
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania Mhe. Hussein Bashe ametoa miezi sita kwa wazalishaji wa Miche
May 17, 2022
No Comments

Uasin Gishu kuimarisha kilimo cha samaki
Ili kuimarisha idadi na matumizi ya nyama nyeupe, serikali ya kaunti ya Uasin Gishu imegawia
May 2, 2022
No Comments

Naibu Waziri akutana na Mkuu wa FAO
Naibu Waziri wa Kilimo wa Tanzania , Mhe. Anthony Mavunde, wakati kikao cha 32 cha
April 14, 2022
No Comments

Tanzania kuongeza uzalishaji wa mkonge
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo,Mifugo na Maji imeipongeza serikali ya Tanzania kwa mikakati
March 18, 2022
No Comments

Serikali ya Tanzania kuimarisha utafiti wa kilimo
Serikali ya awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuimarisha
March 7, 2022
No Comments

Tanzania yasaka wawekezaji kwenye sekta ya kilimo
Waziri wa Kilimo wa Tanzania Mhe. Hussein Bashe akiwa katika maonyesho ya kimataifa ya Dubai
February 24, 2022
No Comments

Mawaziri wa Kilimo Afrika Mashariki wakutana
Mawaziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki walikutana hivi karibuni Jijini
June 30, 2021
No Comments

Limeni alizeti mpate faida ya haraka – Waziri Mkuu Majaliwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewaasa Wakulima wa
June 24, 2021
No Comments
Tanzania yapambana na nzige
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda (Mb) ametoa tathmini ya kazi ya kuwadhibiti nzige wa
March 3, 2021
No Comments

Bilioni 12 za wakulima wa kahawa kagera kulipwa
Serikali ya Tanzania imesema wakulima waliokusanya kahawa yao kwenye vyama vya ushirika mkoani Kagera wataanza
September 3, 2020
No Comments

Uzalishanji wa mkonge umepanda – Mgumba
Juhudi zinazochukuliwa na Serikali zimewezesha uzalishaji wa zao la mkonge kupanda kutoka tani 19,700 mwaka
July 14, 2020
No Comments

Wanafunzi wa kilimo wasifukuzwe – Kusaya
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya ameagiza uongozi wa Chuo cha mafunzo ya Kilimo
July 14, 2020
No Comments

Serikali yatenga bilioni 16 kujenga kituo mahiri cha usimamizi wa mazao ya nafaka
Katibu Mkuu wa Kilimo Bw. Gerald Kusaya leo (19/06/2020) amesaini mkataba wa ujenzi wa kituo
June 19, 2020
No Comments

Naibu Waziri Bashe akutana na wadau wa shahiri na zabibu Dodoma
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amekutana na wadau wa zao la shahiri na
June 11, 2020
No Comments

Wizara ihakikishe kilimo kinasimamiwa kikamilifu-Waziri Hasunga
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amewaagiza watendaji Wakuu wa wizara na taasisi zake kuhakikisha wanasimamia
June 6, 2020
No Comments

Vyuo vya mafunzo ya kilimo kufunguliwa Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald M. Kusaya anawatangazia Wanafunzi WOTE waVyuo vya Mafunzo
June 6, 2020
No Comments

Wizara ya kilimo yaja na mkakati mpya wa horticulture – Kusaya
Katibu Mkuuu wa Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya ameitembelea Taasisi inayojishughulisha na mazao ya bustani
June 6, 2020
No Comments

Katibu Mkuu kilimo awaagiza wakandarasi wa skimu za umwagiliaji kumaliza haraka
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Musabila Kusaya, amewaagiza Wakandarasi wanne kumaliza miradi ya
May 21, 2020
No Comments

Katibu mkuu kilimo aridhishwa na skimu ya umwagiliaji mvumi Kilosa
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo wa Tanzania Gerald Kusaya amesema ameridhishwa na hatua ya ujenzi
May 17, 2020
No Comments

Kusaya: agizo la waziri mkuu kuhusu mbegu bora za michikichi Tanzania latekelezwa kigoma
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo amewapongeza watafiti wa mbegu za michikichi kwa kuongeza uzalishaji wa
May 8, 2020
No Comments

Vyuo vya kilimo nchini Tanzania vyatakiwa kujiimarisha kimapato
Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo ( MATI) vimeagizwa kuhakikisha vinatumia wataalam wakufunzi na rasilimali ardhi
May 8, 2020
No Comments

Tathmini ya ununuzi wa pamba Tanzania kufanyika kabla msimu
Serikali imesema inafanya tathmini ya hali ya ununuzi wa zao la pamba msimu wa mwaka
May 8, 2020
No Comments