Kilimo Swahili News

Waziri Hasunga awaonya wafanyi biashara dhidi ya kuongeza bei ya sukari
Serikali ya Tanzania imeweka wazi bei ya sukari nchini ambapo bei ya rejareja haitazidi Sh

Ukaguzi kuhusu mpunga Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya amewaongoza Makatibu Wakuu wa Wizara za Viwanda na

VIJANA LIMENI NA KUUZA POPOTE, SERIKALI HAITOWAINGILIA – NAIBU WAZIRI BASHE
Naibu Waziri wa Kilimo Tanzania Hussein Bashe amewataka vijana nchini kuzalisha kwa wingi mazao ya

Vyuo Tanzania vyahimizwa kutoa mfano katika kilimo
Serikali imewataka wahitimu wa vyuo vya kilimo kote nchini kutumia fursa ya uhaba wa maafisa

Vijana washauriwa kuwekeza kwa kilimo
Mhe. Omari Mgumba Naibu Waziri Kilimo wa Tanzania amewataka vijana kuwekeza katika uzalishaji mbegu ili

Vikundi Lamu vyafaidika na mpango wa Kenya Climate Smart Agriculture
Vikundi vya kijamii 38 kutoka wadi za Hindi, Mkunumbi,Bahari na Witu katika kaunti ya Lamu

Usajiri wa wadau katika kilimo waendelea Tanzania
Lengo ni kupata twakimu kwa upangaji mwafaka Serikali ya Tanzania imetangaza usajili wa wadau wote

Tanzania- Waziri Hasunga akutana na AGRI Connect
Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga amekutana na wajumbe kutoka Umoja wa Jumuiya ya Nchi

Mikoa inayolima zao la Pamba wakutana Tanzania
Wakuu wa mikoa inayolima zao la pamba nchini wamekutana kupokea na kujadili taarifa ya kamati

Tanzania -Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kutoa shilingi milioni 500 kwa serikali
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) leo imetoa mchango wake wa shilingi milioni

Vijana wahamasishwa kuhusu umiliki wa ardhi
Serikali ya Kaunti ya Lamu nchini Kenya kupitia Wizara ya Ardhi na miundo msingi ikiongozwa

Bodi za mazao kuunganishwa kuunda Mamlaka tatu za mazao – Waziri Hasunga
Serikali imedhamiria kuziunganisha Bodi sita za mazao zilizopo chini ya Wizara ya Kilimo na kuwa

Waziri Hasunga akabidhi taarifa ya ubadhilifu kwenye vyama vya Ushirika Tanzania kwa TAKUKURU
Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga (Mb) leo amekabdihi ripoti ya ukaguzi wa Vyama vya

Tumieni ongezeko la uzalishaji wa mpunga kwenye mradi wa TANRICE kama chachu – Mhandisi Mtigumwe
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe amewaasa Wataalam wa Sekta ya Kilimo kuongeza

Chunguza mfuko- Hasunga ashauri CAG
WAZIRI wa Kilimo wa Tanzania Mhe Japhet Hasunga amemshauri Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu

Taasisi za kifedha Tanzania kuhimizwa kuongeza uwekezanji katika kilimo
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameeleza umuhimu wa taasisi za kifedha kuongeza uwekezaji

Serikali yapongeza JUWANATA kwa kuanzisha Jumuiya ya wasindikaji nafaka.
Serikali imeupongeza uongozi wa muda wa Jumuiya ya Wasindikaji Nafaka Tanzania (JUWANATA) kwa kukamilisha rasimu

SERIKALI ITALINDA SOKO LA NDANI LA PAMBA -BASHE
Serikali imesema inatakutana na wadau wa zao la pamba nchini mapema mwanzoni mwezi Novemba mwaka

Tunahitaji tafiti bora za mbegu – Bashe
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Hussein Bashe jana (10/10/2019 ) aemeshauri Chuo Kikuu cha

BASHE: WADAU ZALISHENI MBEGU ZA MAZAO KWA WINGI TANZANIA
Serikali imewataka wazalishaji mbegu za mazao nchini Tanzania kuongeza uzalishaji na ubora ili nchi iepukane

AfriFARM waja na Technolojia ya kupambana na kiwavijeshi Vamizi Tanzania
Shirika la Kimarekani linalojihusisha na miradi mbalimbali ya kilimo na elimu (project concern international) PCI

Mwaka huu Tanzania tumejipanga kusindika korosho nyingi zaidi – Waziri Hasunga
Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga amewaambia Wasindikaji wadogo na Wakubwa wa korosho kuwa lengo

Wizara ya Kilimo Tanzania yatiliana saini kushirikiana na Taasisi ya ICRAF ya nchini Kenya
Wizara ya Kilimo Tanzania yatiliana saini kushirikiana na Taasisi ya ICRAF ya nchini Kenya

Soko ya mtama mweupe Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Eng. Mathew Mtigumwe amewahamasisha Wakulima wa Mikoa ya Kanda ya

Nakuru County starts implementation of the Potato regulations
by HENRY KINYUA Nakuru County has started implementing the rules that will govern potato trade