Vijana wahamasishwa kuhusu umiliki wa ardhi

Serikali ya Kaunti ya Lamu nchini Kenya kupitia Wizara ya Ardhi na miundo msingi ikiongozwa na Waziri Fahima Araphat iliandaa Warsha ya Siku moja kuwahamasisha vijana kuhusu suala la umiliki wa Ardhi, mfumo wa umiliki, sawia na njia za kufuatwa ili kumiliki Ardhi

Vijana hao kutoka kila pembe ya Gatuzi la Lamu walipokezwa mafunzo hayo ili waweze kuijua thamani ya Ardhi na kutouza Ardhi zao ovyo ovyo

Vile vile Bi Fahima Araphat amewataka vijana kujitokeza katika shughli za upimaji Wa Ardhi na pia kujumuishwa katika bodi kuu ya kudhibiti ununuzi na uuzaji wa Ardhi almaarufu County Land Control Board

Share your views about this story

Related stories

Subscribe to Kilimo News

Get the latest agriculture news in East Africa