Kampuni yakatazwa kununua parachichi

Hass Avocado

Waziri wa Kilimo Tanzania Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa mmliki wa kampuni ya Candia Fresh iliyopo Njombe kwa madai ya kununua parachichi ambazo hazijakomaa na kisha kutupwa katika dampo la Halmashauri ya Njombe Mji. Kampuni hiyo pia imefungiwa kujihusisha na kununua au kuuza parachichi

Share your views about this story

Related stories

Subscribe to Kilimo News

Get the latest agriculture news in East Africa