Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya amewaongoza Makatibu Wakuu wa Wizara za Viwanda na Biashara Prof Riziki Shemdoe,Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Bw.Gerald Mweli na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Balozi Joseph Sokoine leo 22 Aprili 2020 kufanya ukaguzi wa pamoja wa utekelezaji wa mradi wa kuongeza uzalishaji wa zao Mpunga (ERPP) mkoani Morogoro.Awali wakikagua mradi wa ujenzi wa ghala la kuhifadhia mpunga kijiji cha Mvumi wilaya ya Kilosa viongozi hao wameonesha kuridhishwa na hatua iliyofikiwa kwenye mradi huo.”Tumeridhishwa na hatua ya asilimia 99 ya ujenzi wa ghala kukamilika hivyo fanyeni taratibu wakulima wakabidhiwe mapema mradi huu.” alisema Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Kusaya Mradi huo wa ghala Hadi sasa umegharimu shilingi milioni 735 kati ya milioni 971 ambapo utakuwa na uwezo wa kuhifadhi mpunga tani 1300 kwa mwaka na kukoboa mpunga kilo 1200 kwa siku.
Ukaguzi kuhusu mpunga Tanzania

- Tags: Mpunga, Tanzania, wizara ya kilimo
Share your views about this story
Related stories

Bajeti ya Kilimo Tanzania-umwagiliaji na mbegu bora zapewa kipaumbele
Idadi ya Watanzania ni Milioni 61.74. Kati ya hao asilimia 65.6 sawa na zaidi ya

Kampuni yakatazwa kununua parachichi
Waziri wa Kilimo Tanzania Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa mmliki wa kampuni ya Candia Fresh

Mikakati ya kuwawezesha wakulima wa mkonge kuzalisha kwa tija
Naibu Waziri wa Kilimo nchini Tanzania Mhe. Anthony Mavunde amewataka Wakulima wa zao la mkonge

Mavunde awasihi wakulima wajisajili
Naibu Waziri wa Kilimo Tanzania Mhe. Anthony Mavunde amewataka wakulima nchini kujitokeza katika zoezi la

Wakulima wapimiwe ardhi na wapewe hati, asema Naibu wa Waziri Mavunde
Naibu Waziri wa Kilimo wa Tanzania Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Timu ya wataalamu wa Ardhi

Mavunde ahimiza kilimo mkataba kwa wakulima juu ya soko
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Anthony Mavunde amewataka wachakataji wa mazao ya kilimo kuingia mikataba

Tanzania na Israel kushirikiana kwenye ujuzi wa uzalishaji wa mbegu
Nchi za Tanzania na Israel zimeanzisha mazungumzo kuelekea katika makubaliano ya kushirikiana katika maeneo ya

Mwelekeo wa kilimo chetu kwa sasa ni umwagiliaji – Waziri Bashe
Kipaumbele cha Serikali ya Tanzania ni kuimarisha Sekta ya Kilimo cha umwagiliaji ili kupunguza utegemea

Serikali yaonya wazalishanji wa miche
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania Mhe. Hussein Bashe ametoa miezi sita kwa wazalishaji wa Miche

Naibu Waziri akutana na Mkuu wa FAO
Naibu Waziri wa Kilimo wa Tanzania , Mhe. Anthony Mavunde, wakati kikao cha 32 cha